Quantcast
Channel: MEDIA 2 SOLUTION » SONG REVIEW
Browsing latest articles
Browse All 6 View Live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIMBO WA MRISHO MPOTO “CHOCHEENI KUNI…” (PITIO LA WIMBO)

Leo ningependa tumwangazie Mtunzi na muimbaji nguli wa fasihi simulizi kwa njia ya nyimbo zenye mahadhi ya ushairi ambayo yanauganisha mapokeo ya zamani na ya sasa, Nguli Mrisho Mpoto hususan katika […]

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND PLATNUMZ NATAKA KULEWA (PITIO LA WIMBO NA VIDEO)

Ujio mpya wa msanii maarufu zaidi wa kizazi Kipya kwa sasa hapa Tanzania Nasibu Abdul AKA Diamond Platnumz wa nyimbo na video ya NATAKA KULEWA, ikiwa ni kazi yake ya […]

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PATA WIMBO MPYA WA SNURA MUSHI “NIMEVURUGWA”

Wakati wimbo wake wa Majanga ukiendelea kutamba mwigizaji na mwanamuziki Snura Mushi ametoa wimbo mpya uitwao Nimevurugwa. Usikilize hapa Nimevurugwa BOFYA HAPA KUSIKILIZA WIMBO WA NIMEVURUGWAFiled...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIWA SAVAGE, ICE PRINCE, SARKODIE NA MAFIKIZOLO KUTUMBUIZA TUZO ZA BET

  Katika kuwapa pia nafasi wasanii wa Afrika, waandaaji BET Awards 2014 wamewatangaza wasanii hao kuwepo pia kwenye orodha ya watumbuizaji. Hii ni mara ya kwanza wasanii nje ya Marekani […]

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI HII NI ZAMU YA YAMOTO BAND; SAID FELA

Said Fela ndiye aliye nyuma ya kuanzishwa kwa kundi la vijana wanne waitwao ‘Mkubwa na Wanawe’ au Yamoto Band ambao kwa sasa wametokea kupendwa. Hadi sasa vijana hao wana nyimbo […]

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO:- KICHUPA CHA G-NAKO “MORALE”

Video ya wimbo wa G-Nako, ‘Morale’ iliyoongozwa na Hanscana. Hii ni moja ya vichupa vya hivi karibuni kabisa vya G-Nako ambayo inakwenda kwa jina la Morale, mwonekano wake ni mzuri […]

View Article
Browsing latest articles
Browse All 6 View Live




Latest Images